Posts

CHANGAMOTO ZIPO

Habari ya wakati huu rafiki yangu mpenzi msomaji wetu wa makala katika mtandao huu? Natamani kukushirikisha juu ya mambo haya kuhusu changamoto kwenye maisha yako. Ugumu wa changamoto uliyonayo unaendelea kuongezeka kutokana na kutokufahamu mambo yafuatayo. KUKUBALI CHANGAMOTO Awali ya yote ni lazima ujifunze kukubali kuwa hakuna jambo kubwa au dogo utakalolifanya litakosa changamoto . Kwa kifupi huwezi kuzikimbia changamoto kwa namna yoyote ile badala yake jifunze kukubali kuwa changamoto zipo na ni lazima uzikabili na Kuzishinda. Kwa nini kukubali changamoto ? Nakushauri ukubali kwanza changamoto zipo ili uweze kujiandaa kisaikolojia ijapo ikukute u tayari kuipokea na kukabiliana nayo. Mfano wa Donald Trump kama hasingekubali changamoto yamkini hasingeshinda uraisi huko Marekani! JIFUNZIE CHANGAMOTO Pili ni lazima ujifunze kuwa unapopitia magumu au tabu Fulani kwenye maisha ni fursa ya wewe kujifunza jambo jipya. Badala ya kuutazama ugumu ulionao na kukata tamaa, jiulize

LIVING IS WORTH TO GIVE WAY ONE ANOTHER

How are you managing? Its another beautiful day, I once again welcome you to keep on following upon updates of our articles from which there are lots to learn about life aspects, for the betterment of our tomorrow. So today we are going to learn about giving ways to others. This simply means to let other people go before you. You may be stacking somewhere in your progress, just like a bird has been trapped can't move and also can't fly again just roaming around the trap until gets picked up. It feels like you are satisfied and all circumstances are going well. As if nothing has happened, athough it hurts and breaks all within you. It eats up all of you slowly and still you tend to be resilient. You find someone is saying I am contented and I don't need to rush with the speed of technology advancement, he is comfortable externally but in reality is in depression, fear and less confident. He can't keep on moving and cannot incorporate anyone else about his problem. Be

A LIVING DOG IS BETTER THAN A DEAD LION

How are you doing? Hope you are all just fine. Its my hope everything is going as planned. I invite you once again to learn together about importance of being alive. There are lots of staffs happen to our lives because we do not give life that value of it. Imagine if car engine dies. Can any movement be made? Can starter work as usual? no more movement can be made using that car. If a plant dies, we don't expect of getting any healthier food from it. What does this mean? Actually it is obvious to see people busy struggling for their ongoing when alive. We know, all strong, rich and great people we ever knew after their death no more stories about. Everything concerns their fame goes off memory. The history perishes, and the things get changed. If you go check the family left by thee, you will wonder to see them in so different and hard life otherwise you will find them in conflicts every one wants to be part of the legacy. Very few families remain stable and probably their coo

UKITAKA CHUMA KUWA SUMAKU

Habari yako mpendwa mfuatiliaji wa makala zetu za mafanikio,afya na tabia. Tunajua ili tufanikiwe kwenye yale tunayoyafanya tunahitaji watu ambao tutaendana nao kitabia, kiufanisi na kiuadilifu. Nakukaribisha tena siku ya leo tujifunze kutoka kwa sumaku. Kuna watu wanajiuliza nitamjuaje wa kufanana naye? Ninayeendana naye? Najua kuna mtu unamtafuta ufanye naye kitu mfano biashara, kuna mtu unamtafuta ujenge naye urafiki, uchumba n.k Yaani kuna sifa unatamani mtu Fulani awe nazo ndipo uweze kufanya naye jambo fulani kama mifano tajwa hapo juu. Nataka nikueleze, ukimkuta kichaa jaani hushangai, lakini mtu aliyetimamu ukimkuta huko bila shaka lazima ushangae. Ndio kuna mazingira ambayo huwezi kuwakuta nzi wako wengi kama mazingira machafu. Kuna watu unataka ushirikiane nao katika jambo kwenye maisha yako wakiwa na sifa fulani lakini unashindwa kuwajua. Iko wazi kwamba ndege wanaofanana ndio wanaoruka pamoja, swali ni je,utamjuaje binadamu unayefanana naye katika hilo unalotaka kulifan

MAHUSIANO.

Habari Rafiki? Natamani kuzungumza nawe leo hususani kuhusu mahusiano ambayo yakiwa hayaendi sawa yanweza kuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo. MUNGU mwenyewe alianzisha mahusiano kwa kumpenda mwanadamu hata kumuumba kwa mfano wake na alipopotoka bado alimuokoa kupitia Yesu Kristo Mnazareti. Chanzo cha mahusiano kwa upande wa wanadamu ni Adamu na Hawa. Mwanaume ni mtu ambaye aliaminiwa na MUNGU akapewa maelekezo kamili na halisi kuhusu maisha ya edeni. Majukumu yalikuwa mengi nae MUNGU akaona ni vema amtafutie msaidizi na hapa ndipo inabidi tujifunze kuona tofauti ya upendo wa kweli na vinginevyo. Adamu alifanyiwa viumbe vingi ambavyo vililetwa kuwa Msaidizi wake hakupenda kusaidiwa navyo (huwa kuna swali linanisumbua hapa kwamba, ni kazi gani aliyokuwa nayo Adamu ambayo ilimpasa kubagua na kuchagua msaidizi bora zaidi kuliko wote aliofanyiwa na MUNGU?) Tuachane na hilo swali sio mpango wangu kwa sasa tuangalie hatima ya uchaguzi wa Adamu ilikuwa ni Eva. Sasa suala la kuliangalia hapa

KIONDOE HICHO KIUNGO

Natamani kuzungumza na mtu mmoja saa hii. Habari yako ndugu, jamaa na rafiki yangu? Naamini u mzima wa afya njema na unaendelea kukaza buti ukifanya juhudi kufikia mafanikio ya ndoto zako. Karibu tena ndugu, leo tatazungumzia habari ya kuondoa au kung'oa au kutoa kiungo kwamishi. Kiungo kinacholeta vikwazo kwa safari tuliyonayo ya mafanikio. Kuna Kitu ambacho usipokijua kitakusumbua sana kitakufanya wakati mwingine uishi maisha ya utumwa na unapokuja kushituka unakuta tayari mambo yamekwisha haribika na huna tena muda wa kuishi maisha yakwako. Imeandikwa ukiona kiungo chochote cha mwili wako kinakukosesha king'oe, kiondoe au kitoe kisiwe sehemu yako kwa sababu ni heri ukose kiungo kimoja uende uzimani kuliko kuwa na viungo vyote jehanamu. Ni kitu gani basi kitakachokupa wewe maumivu makubwa namna hii zaidi ya mwili wako? Kama ni hivyo mbona unataka kufanikiwa lakini umeendelea kukumbatia marafiki wanaokukwamisha? Hao marafiki ulionao mbona hawakusaidii kuishi maisha uliyo

CONNECTION

Habri rafiki zangu? Nafurahi kwa sababu natambua tuko pamoja na tunaendelea kunufaika na vitu ambavyo Mungu hutufundisha juu ya maisha yetu ili tuweze kusonga mbele hata kufikia yale maisha ameyakusudia kwetu. Karibu tena tushirikishane kuhusu Connection. Napenda kusema neno kidogo kuhusu connection(muunganiko au uhusiano), unajua watu wote tunapenda mambo mazuri yatokee kwenye maisha yetu. Kuna wakati tumekutana na fursa mbalimbali tumeshindwa kwa sababu tunapenda mambo mazuri tu bila connection. Napozungumzia connection namaanisha uhusiano kati ya hicho unachokipenda na upatikanaji wake. Nitakupa mfano wengi wetu tumezoea kutumia maneno yafuatayo, ninayaweza yote kwake yeye anitiaye nguvu... Amesema tutashinda na zaidi ya kuahinda, atatufanya kichwa na si mkia n.k zipo nukuu nyingi tu ambazo tumekuwa tukitembea nazo. Sasa nataka ujiulize tangu umeanza kutembea na hizi nukuu umeona tofauti? kwanini unashindwa? Kwanini huwi kichwa? Ukiwa mwanafunzi hakuna Kitu kinatiliwa mkazo uwap