DAWA YA MADONDA YA TUMBO
Je unasumbuliwa na madonda ya tumbo na hujui utafanyaje ili kuyatibu fuatana na mimi kwenye Makala hii. Fuata hatua zifuatazo kuandaa dawa Andaa Jani moja la Alovera safisha vizuri. Lichane katikati kisha liloweke kwenye maji kiasi kwa muda wa nusu saa . Chukua(majani ya madasa ni maarufu kwa watu wa kanda ya ziwa au majani ya matatila kwa watu wa nyanda za juu kusini )haya ni majani ambayo yana sifa ya kushika nguo na hupatikana shambani- tumia robo tatu ya majani hayo kisha safisha kuondoa vumbi subiri kidogo maji ulosafishia yakauke. Kisha twanga hayo majani kwenye kinu . Chukua lita moja na nusu ya maji kisha changanya na majani uliyoyatwanga. Tikisa vizuri mc...