DAWA YA MADONDA YA TUMBO

Je unasumbuliwa na madonda ya tumbo na hujui utafanyaje ili kuyatibu fuatana na mimi kwenye Makala hii.                                                 

Fuata hatua zifuatazo kuandaa dawa

  1. Andaa Jani moja la Alovera safisha vizuri.

  2. Lichane katikati kisha liloweke kwenye maji kiasi kwa muda wa nusu saa.

  3. Chukua(majani ya madasa ni maarufu kwa watu wa kanda ya ziwa au majani ya matatila kwa watu wa nyanda za juu kusini )haya ni majani  ambayo yana sifa ya kushika nguo na hupatikana shambani- tumia robo  tatu ya majani hayo kisha safisha kuondoa vumbi subiri kidogo maji ulosafishia yakauke.

  4. Kisha twanga hayo majani kwenye kinu .

  5. Chukua lita moja na nusu ya maji kisha changanya na majani uliyoyatwanga.

  6. Tikisa vizuri mchanganyiko wako ukishachanganya uzuri .

  7. Chukua maji ya jani la alovera(alojuicy) uliyochuja yachanganye na mchanganyiko wako wa madasa.

  8. Hakikisha unatikisa vizuri mchanganyiko wako ili alovera na madasa vichanganyike vizuri katika lita moja na nusu ya maji.

Jinsi ya kupata dozi ya dawa hii.

  • Tumia dawa hii  kijiko cha chakula, vijiko viwili mara tatu kutwa , kila siku hadi itakapoisha .kisha jitathmini kama hali yako ya mwanzo iko sawa na hali yako baada ya kunywa dawa hii?

  • Nina hakika jibu lako halitakuwa baya kwa kuwa dawa hii inauwezo wa kutibu madonda ya tumbo kwa zaidi ya 75%

Vigezo na masharti ya dawa ni lazima yazingatiwe.


.Imeandikwa na Antony Mwakilima.

Mawasiliano:

          0756 351 462

          0672 314 874

email:     mwaijox@gmail.com       


Comments

Popular posts from this blog

AVUMILIAYE MPAKA MWISHO NDIYE ATAKAYEOKOKA!

KIPIMO UNACHOPIMIA WENGINE NDICHO UTAKACHOPIMIWA

HASIRA HASARA