Posts

Showing posts from April, 2017

MAHUSIANO.

weza kuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo. MUNGU mwenyewe alianzisha mahusiano kwa kumpenda mwanadamu hata kumuumba kwa mfano wake na alipopotoka bado alimuokoa kupitia Yesu Kristo Mnazareti. Chanzo cha mahusiano kwa upande wa wanadamu ni Adamu na Hawa. Mwanaume ni mtu ambaye aliaminiwa na MUNGU akapewa maelekezo kamili na halisi kuhusu maisha ya edeni. Majukumu yalikuwa mengi nae MUNGU akaona ni vema amtafutie msaidizi na hapa ndipo inabidi tujifunze kuona tofauti ya upendo wa kweli na vinginevyo. Adamu alifanyiwa viumbe vingi ambavyo vililetwa kuwa Msaidizi wake hakupenda kusaidiwa navyo (huwa kuna swali linanisumbua hapa kwamba, ni kazi gani aliyokuwa nayo Adamu ambayo ilimpasa kubagua na kuchagua msaidizi bora zaidi kuliko wote aliofanyiwa na MUNGU?) Tuachane na hilo swali sio mpango wangu kwa sasa tuangalie hatima ya uchaguzi wa Adamu ilikuwa ni Eva. Sasa suala la kuliangalia hapa ni baada ya Eva kupatikana ambaye alitokana na nyama na mifupa yake naye akamkubali kuwa msaidizi wak